Kuhusu yaliyoandikwa

Kuna wengi wanaopitia kwenye blogu hii na kudhani kuwa yote ninayoandika yanagusia maisha yangu kibinafsi.

Hii imetokana kwa kuwa kama mhariri, napenda kutumia kiunganisho cha kibinafsi, ‘ni’. Kutumia kiunganishi hiki sio kumaanisha kuwa yote n’nayoandika yananihusu moja kwa moja ila matumaini yangu ni kuwa msomaji atajiweka kwenye nafasi hiyo kibinafsi au kuweza kusoma maguni kama simulizi moja kwa moja kama vile mazungumuzo na mtu fulani.
Kweli ni kuwa ni mtazamo wangu kwenye mambo ya dunia na vitukio vya siku kwa siku vinayonipa motisha kuandika na mnapotoa maoni yenu, hakuna anayekosea kwa kutafsiri huru yaliyoandikwa . Independent thinking… it’s a free world.




Follow

Get every new post delivered to your Inbox.