08.01.09

Nyumbani

Posted in ujumbe at 08:14 by Serina

Nipo nyumbani, nilifika salama kama wiki mbili zilizopita hivi. Pilkapilka ndizo nyingi mnavyoelewa hata hivyo tungo nitaziweka nitakapopata mda.

Nawatakieni weekendi njema!

Serina.

9 Comments »

  1. Nashukuru kama ulifika salama na uwe na muda mzuri na ula vyakula vya nyumbani kwa wingi.

  2. Fadhy said,

    Twashukuru upo salama. Umekuwa kimya sana. Kila la kheri. Twakumiss sana.

  3. Bwaya said,

    Jamani da’Serina. Nimekumisi “niaje”. Nasubiri kwa hamu vitu vyenye ladha ya nyumbani nyumbani. Pole na pilika pilika za hapa na pale.

  4. LUIHAMU said,

    Hivi Anti Serina..
    Nyumbani kwaweza kuwa ugenini?

    Namaanisha hivi naweza kuwa nyumbani lakini nikajihisi niko ugenini.

    Amani.

  5. Da Serina. Usalama ni jambo la kwanza tumshukurulo Maulana nasi twaamini kuwa ukimaliza kufanya yale yaliyo muhimu na yenye kuhitaji kufanyika sasa, utarejea kutupa tungo ambazo twaamini wapenda na watamani kuziweka.
    Uwe na amani na kila lililo jema waombewa katika kila jema utendalo.
    Amani, Heshima na Upendo kwako

  6. Nakumisi Serina:-(

  7. Ria said,

    Wewe! we are still waiting on this end.

  8. Det var roligt at få hälsingnar från dig. Här allt bra fast det lite regnig, blåst och kallt. Hoppas all väl. Tack att du hälsade. Kram

  9. Kissima said,

    Serinaserina dada,karibu tena malenga,
    Kazizo tulizipenda,heko mawazo kupanga.


Leave a Comment