Je wajua?

18 06 2008

Penzi halilazimishwi, ni mtu kwa mtu wake.


Actions

Information

2 responses

18 06 2008
Maria T

Nakubaliana nawe Da Serina. Nipende-n’kupende, penda -upendwe, penda-panapopendeka, penda-unapopendwa! Penzi ni hiyari katu halilazimishwi! Natafuta mtu wangu nami niwe “mtu na mtu wake.” Shukran

26 06 2008
m

naam, na kila jini na mbuyu wake.

Leave a comment